Ingia / Jisajili

Wewe Bwana Unifadhili

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 11

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
WEWE BWANA UNIFADHILI MAANA NA KULILIA WEWE MCHANA KUTWA X2 KWA MAANA WEWE BWANA UMWEMA UMEKUWATAYARI KUSAMEHE NA MWINGI WA FADHILI KWA WATU WOTE WA KUITAO X2 Fine.(1).EE Bwana utege sikio lako unijibu.Maana Mimi nimaskini na mhitaji. (2) Unifurahishe nafsi ya Mtumishi wako.maana nafsi yangu na nakuinulia wewe wewe Bwana. (3).Ee Bwana Ee Bwana uyasikie maombi yangu. Uisikilize sauti ya Dua zangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa