Mtunzi: James Chusi
> Tazama Nyimbo nyingine za James Chusi
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: James Chusi
Umepakuliwa mara 974 | Umetazamwa mara 3,093
Download NotaWewe Bwana Usiniache Mungu wangu usijitenge nami, Ufanye haraka kunisaidia Ee Bwana wa wokovu wangu
1. Wewe Bwana usiniache Mungu wangu usijitenge nami ufanye haraka kunisaidia
2. Nalisema nitazitunza njia zangu nisije nikakosa, nikakosa kwa ulimi wangu