Ingia / Jisajili

Wewe Ni Mungu

Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Bernard Mukasa

Umepakuliwa mara 50,490 | Umetazamwa mara 77,262

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

David Oct 28, 2023
Asante kwa wimbo huu

Fredrick Colman Sway Sep 08, 2023
Namshukuru Mungu kutupatia mtu mwenye karama ya Aina hii.Hongera mwalimu.

devmoneofficial Mar 08, 2022
Naukubati sana

Victor Dec 19, 2021
Wimbo safi , ila naomba mfumo au mziki wenyewe. Solpha notations

Mwiti Nov 06, 2021
Nasema wimbo Ni hodari kabisa

Boniface wambua May 14, 2020
Wimbo mtaamu saana.. pongezi mtunzi

Boniface wambua May 14, 2020
Wimbo mtaamu saana.. pongezi mtunzi

paulin Nov 26, 2018
Ok

paskar kiloloma Oct 28, 2018
Mungu awenawe

tilly baroani Aug 21, 2018
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu Mungu akubariki kazi yako.

christopher francis Jul 13, 2018
mnatishaaaa hongereni daima mungu awabariki kwani nyimbo ni sala toshaa kwa muumba wetu

Theopister sechali0658760809 Jul 03, 2018
Nzuri sana unabariki na kubutudisha

jastin khamsin Jun 18, 2018
mungu niupendo,ni nyimbo ambayo nimeisikia kwa mala ya kwanza,ki ukweli upo vizuli kaka mungu akubariki ahsante.

Martin chege njoroge Jun 11, 2018
Uko vizuri endelea na Moyo huo huo

ANTHONY NKWERA Jun 01, 2018
Hongera mungu akuzidishie kipawa hicho uko vzri

Bartholomew Mokaya Mar 18, 2018
nampongeza bwana Bernard mukasa nyimbo tamu zinazoguza roho, endelea na moyo huo huo.

Anna KIJOMOKO Feb 12, 2018
NAKUPONGEZA BERNARD NYIMBO ZAKO ZINAGUSA, MUNGU AKUBARIKI

Benard kipnyango Jan 24, 2018
God bless u so much like the song Wewe ni Mungu, naipenda Sana huwa naiskiza Kwenye channel ya kapuchini

Nancy Githu. Jan 24, 2018
Wimbo huu wa wewe ni Mungu.hunisisimua.namhisi Roho wa Mungu .asante kwa utunzi wako

goodluck Jan 23, 2018
hongera sana nyimbo zako nzuri

Julius Anari Nov 20, 2017
Am Julius Anari from kenya. 18year old and i have always been interested in this field. really like your songs currently am training my choir your songs i.e mimina neema and Wewe ni mungu. I have also tried composing some song but am still not an expert so may you cross check ob the pdf above for any mistakes please.I will appreciate .Thank you

Veronica Francis Buja Oct 31, 2017
nakupongeza mwalimu. Kiukweli upo vizuri, unakipaji cha utunzi cha kuwatakatifuza watu. Mungu akujalie uweze kuwatakatifuza watu zaidi

Zawadi Noel Mbilinyi Sep 27, 2017
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu Mungu akubariki sana

Anthony Mtoni Sep 13, 2017
Wewe in mtunzi mzuri sana, na nyimbo zako ni nzuri hongera sana kaka na Mungu akubariki zaidi

Fred Mhiche Aug 18, 2017
Bernard, you always bring me closer to God through your songs. Your songs make me meditate deeply and deeply. I am graced to live in this era of your presence. Be blessed abundantly.

Peter Magnus Jun 28, 2017
Mungu Akutangulie Baba Mukasa Katka Utunzi Wako

john mathias vitta Jun 10, 2017
vizuri saana kwani sanaa inaboreka kutoka anaroid to digital ninaamin hata wagen wainje matajifunza taknolojia mpya ya uimbaji wa music upigaji wa vyombo namfumo wa sanaa

Pascal Johakim Mar 04, 2017
Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa bwana Bernard Mkasa kwa utunzi mzuri was nyimbo za injili Mungu azidi kukupa karama hiyo izidi kukua

mary Feb 18, 2017
hongereni mungu awabariki wimbo mzuri sana

Jeremiah Magembe Dec 28, 2016
hongera sana kwa kaz maridad ya kuinjlixha

joseph B halezya Nov 18, 2016
Nawapongezeni sana na mungu azidi kuwabariki na kuwaongezea maarifa

clara Oct 21, 2016
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu

julius Luswaga Oct 21, 2016
nawapongeza watunzi wote wa nyimbo za dini kwani mnafikisha injili kwa wengi kwa njia ya kuimba mungu awaongezee hakiba katika hazina zenu mbinguni

innocent bagoka Oct 21, 2016
nakupongeza kwa nyimbo Mungu azidi kukupa maarifa zaidi

Toa Maoni yako hapa