Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Bernard Mukasa
Umepakuliwa mara 7,188 | Umetazamwa mara 14,418
Download Nota Download Midi
1. Na mimi ndimi Bwana Mungu wako niliyekupandisha toka Misri. Fumbua kinywa chako nikujaze nikujaze nimewalisha
KIITIKIO
Unono wa ngano asali itokayo mwambani x2
2. Nimelitenganisha bega lake nimelitenganisha na mzigo na mikono yake ikaachana na kikapu nimewalisha
3. Katika shida zako uliniita uliniita nikakuokoa nilikuitikia sitarani nikakujaribu nimewalisha
4. Pazeni sauti pigeni matari kinubi chenye sauti nzuri na kinanda pigeni panda mwandamo wa mwezi sikukuu nimewalisha