Ingia / Jisajili

Wimbo Wangu Wa Shukrani

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 558 | Umetazamwa mara 1,614

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
WIMBO WANGU WA SHUKRANI UTANGULIZI Wimbo wangu wa shukrani ni kwako Bwana Mungu wangu, umenitendea mema yasiyoweza hesabika, nikurudishie nini kwa huo ukarimu wako, umekuwa mchungaji mwema katika maisha yangu KIITIKIO (a e) pokea huu wimbo utokao moyoni mwangu ninakushukuru kwa hizo baraka lonijalia, ninazo sababu za kutoa shukrani zangu ninakushukuru daima ninasema asante, (natoa) shukurani zangu ninasema asante sana (naimba) kukusifu wewe na uhimidiwe milele (inabidimi niimbe nikushukuru)*2 1. Ukazijibu sala zangu bila kusita nilipopiga goti langu Mbele zako Mungu, ukasimama nami Bwana niliposhindwa nikakutegemea wewe msaada wangu 2. Nilipokuwa mgonjwa uliniponya taabu zangu zikapungua nikawa huru niliposongwa na dhambi kanisamehe dhambi zangu zikafutika nikawa huru 3. Katika hali zote utabaki kuwa Mungu, nitafurahi siku zote nitaimba bila kusita, (daima nikushukuru katika kila hali daikuru katika kila hali)*2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa