Ingia / Jisajili

Amezaliwa

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Noeli | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 152 | Umetazamwa mara 751

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE BWANA UMENICHUNGUZA ZAB 139 (Ee Bwana umenichunguza ee Bwana umenichunguza ee Bwana umenichunguza na kunijua) *2 (wewe wajua kuketi kwangu kuondoka kwangu umelifahamu wazo langu tokea mbali) *2 1. Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu umeelewa na njia zangu zote, maana hamna neno ulimini mwangu usilolijua kabisa Bwana 2. Umenizingira nyuma na mbele, ukaniwekea mkono wako maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi, hayadirikiki siwezi kuyafikia 3. Maana wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu, uliniunga tumbo ni mwa mama yangu 4. Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa kwa jinsi ya ajabu ya kutisha matendo yako ni ya ajabu na nafsi yangu yajua sana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa