Ingia / Jisajili

Wote Wakajazwa

Mtunzi: Emmanuel Daniel Mutura
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Daniel Mutura

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Emmanuel Daniel Mutura

Umepakuliwa mara 440 | Umetazamwa mara 1,118

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Pentekoste

Download Nota
Maneno ya wimbo

WOTE WAKAJAZWA [E.D.MUTURA]

Wote wakajazwa na Roho Mtakatifu (wakasema matendo makuu ya Mungu aleluya) x2

  1. Hata ilipotimia siku ya Pentekoste, walikuwako wote mahali pamoja, ghafla toka mbinguni ukaja uvumi, uvumi wa upepo uendao kasi ukaijaza, nyumba yote waliyokuwa wameketi.
  2. Kukawatokea ndimi ndimi zilizogawanyika, kama ndimi za moto uliowakalia, kila mmoja wao.
  3. Wote walokuwapo walishangaa walishangaa, kwani waliweza kuyaelewa yale yaliyonenwa na mitume, kila mmoja kwa lugha yake mwenyewe.
  4. Wengine walidhihaki wakisema: (wamelewa kwa mvinyo mpya, wamelewa kwa mvinyo mpya, wamelewa kwa mvinyo mpya) x2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa