Ingia / Jisajili

KAA NASI BWANA

Mtunzi: Emmanuel Daniel Mutura
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Daniel Mutura

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Emmanuel Daniel Mutura

Umepakuliwa mara 331 | Umetazamwa mara 971

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Alhamisi Kuu
- Antifona / Komunio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka A
- Antifona / Komunio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka B
- Antifona / Komunio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo

KAA NASI BWANA (E.D.Mutura)

  1. Ekaristi Takatifu kwa heshima ya Mungu, na utakatifu wa watu

Kaa nasi Bwana kaa nasi, kaa nasi katika Sakramenti Takatifu, kaa nasi Bwana kaa nasi x2

  1. Ekaristi Takatifu chemchemi ya upendo, na ustawi wa Familia zetu, kaa nasi ……..
  2. Ekaristi Takatifu chemchemi ya upendo, na ustawi wa Jumuiya zetu, kaa nasi ……..
  3. Ekaristi Takatifu chemchemi ya upendo, na ustawi wa Parokia yetu, kaa nasi ……..
  4. Ekaristi Takatifu chemchemi ya upendo, na ustawi wa Jimbo letu, kaa nasi …………
  5. Ekaristi Takatifu chemchemi ya upendo, na ustawi wa Taifa letu, kaa nasi ……..
  6. Ekaristi Takatifu chemchemi ya upendo, na ustawi wa Ulimwengu, kaa nasi ……..

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa