Ingia / Jisajili

EWE YESU WANGU KARIBU MOYONI

Mtunzi: Obuya Joseph Ochieng
> Mfahamu Zaidi Obuya Joseph Ochieng
> Tazama Nyimbo nyingine za Obuya Joseph Ochieng

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: OBUYA JOSEPH

Umepakuliwa mara 523 | Umetazamwa mara 1,513

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ewe Yesu Wangu Karibu moyoni Mwangu nakukaribisha uwe ndani yangu. 1.Mwili wako Bwana na damu yako Bwana Yesu Ni chakula Bora tena kinywaji safi naja kwako Bwana unipokee yesu wangu , unilishe mwili ninyweshe damu yako 2. Nipokee Bwana naja mezani pako, karamuni mwako umeniandalia Ndani yako Bwana kuna matumaini,wewe pekee ndiwe njia ya uzima 3. Chanzo cha rehema kisima cha neema,wewe ni mwokozi mwanga wa ulimwengu Unihurumie unitakaze Bwana, tegemeo langu na kimbilio langu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa