Ingia / Jisajili

Yesu Ninakuhitaji

Mtunzi: Patrick Ingati
> Mfahamu Zaidi Patrick Ingati
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Ingati

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: patrick ingati

Umepakuliwa mara 251 | Umetazamwa mara 1,323

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
YESU NINAKUHITAJI. Yesu ninakuhitaji maishani mwangu, natamani niwe nawe siku zangu zote (Bwana) Yesu njoo uishi ndani mwangu x2. 1. Nakuomba Bwana, Yesu uwe nami, njoo uniburudishe. 2. Ninakuhitaji, Yesu siku zote, njoo maishani mwangu. 3. Nakukaribisha, Yesu njoo mwangu, nifurahi siku zote. 4. Bila wewe Yesu, nitaangamia, njoo Kristu unilinde.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa