Ingia / Jisajili

WEWE BWANA MUNGU

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 342 | Umetazamwa mara 1,386

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
WEWE BWANA MUNGU R/ Wewe Bwana Mungu, ndiwe nguvu yangu nakupenda sana, u jabali langu, ndiwe boma langu na wokovu wangu. 1.Wewe ndiwe mwamba wa wokovu wangu, mwamba wangu ninaye mkimbilia. 2.Ndiwe ngao yangu ndiwe ngome yangu, kati ya watu nitakushukuru. 3.Nilimwita Bwana Bwana Mungu wangu, tabuni mwangu akaniokoa. 4. Bwana Mungu wetu ndiye anaishi, anayestahili kusifiwa. 5.Nakusifu kati yao mataifa, nitaliimba jina lako Bwana. 6.Umeniokoa umenifadhili, kwani wanipenda milele yote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa