Ingia / Jisajili

Basi Jiwekeni

Mtunzi: Wolford P. Pisa
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 201 | Umetazamwa mara 736

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

BASI JIWEKENI

Chorus; Basi basi jiwekeni chini ya Mungu, mpingeni shetani, naye atawakimbia atawakimbia x2

                Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia, naye atawakaribia karibia ninyi x2

Mashairi; 1. Vita vyatoka wapi, na mapigano yaliyoko kati yenu yatoka wapi? si humu, katika tamaa

                       zenu zifanyazo vita katika viungo vyenu.

                    2. Mwatamani, wala hamna kitu, mwaua na kuona wivu, wala hamwezi  kupata. Mwafanya

                         vita na kupigana, wala hmna kitu kwa kuwa hamwombi.

                    3. Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu.

                     4. Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila

                          atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa