Ingia / Jisajili

Enyi Watu Wa Sayuni

Mtunzi: Wolford P. Pisa (WPP)
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa (WPP)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa (WPP)

Makundi Nyimbo: Majilio | Mwanzo

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 711 | Umetazamwa mara 2,229

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Enyi watu wa Sayuni, Tazameni Bwana watakuwa kuwaokoa mataifa. X2.

Mashairi:

1.Naye Bwana atawasikizisha, sauti yake ya utukufu katika furaha ya mioyo yenu.

2.Maana kwa sauti yake ya Bwana, mwashuri atavunjikavunjika yeye apigaye kwa bakora.


Maoni - Toa Maoni

Damian J. Muhe May 03, 2017
Mdogo wangu Mwl Pisa hongera kwa nyimbo nzuri, nimezipakua chache tu zimenifariji. Kumbe nikihitaji nyimbo Zaidi nakuja tu mtandaoni. Mungu akubariki na uendelee kutuletea nyimbo za kumsifu na kumtukuza Mungu Muumba wetu.

Toa Maoni yako hapa