Ingia / Jisajili

Mimi Ni Mdhambi Tu

Mtunzi: Wolford P. Pisa (WPP)
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa (WPP)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa (WPP)

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 540 | Umetazamwa mara 2,208

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Ee Bwana mimi ni mdhambi tu, sistahili kujongea meza yako,

lakini sema neno tu na roho yangu itapona.

MASHAIRI

  1. Ee Yesu wangu wewe ni kitulizo cha roho yangu, njoo kwangu hima uniponye.
  2. Mimi ni mdhambi, makosa yangu nayatubu kwako, unisafishie roho yangu.
  3. Ukae kwangu nami nikae kwako Ee Yesu wangu, urafiki wetu udumu milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa