Ingia / Jisajili

Mimi Nikutazame

Mtunzi: W. Kiwango
> Mfahamu Zaidi W. Kiwango
> Tazama Nyimbo nyingine za W. Kiwango

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Willy Kiwango

Umepakuliwa mara 349 | Umetazamwa mara 1,174

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Mimi (Bwana) Nikutazame uso (wako) nikutazame uso katika haki, niamkapo nishibishwe kwa sura yako x2

Mashairi:

1. Ee Bwana usikie haki, ukisikilize kilio changu, utege sikio lako kwa maombi yangu

2. Ee Bwana kwa mkono wako uniokoe na watu ambao, fungu lao li katika maisha haya

3. Wasinione waso haki waso haki wanaonionea,  adui za roho yangu wanaonizunguka


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa