Mtunzi: Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Mfahamu Zaidi Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Willy Kiwango
Umepakuliwa mara 1,152 | Umetazamwa mara 3,719
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 28 Mwaka A
Kiitikio: Nami nitakaa Nyumbani mwa Bwana milele x2
Viimbilizi:
1.Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu, katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
2.Huniongoza katika njia, katika njia za haki, kwa ajili ya jina lako jina lako, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti sitaogopa, sitaogopa mabaya
3.Waandaa meza mbele yangu, machoni pa watesi wangu, umenipaka amfuta kichwani pangu na kikombe changu kikombe changu kinafurika.