Mtunzi: Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Mfahamu Zaidi Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Noeli
Umepakiwa na: Willy Kiwango
Umepakuliwa mara 2,005 | Umetazamwa mara 5,291
Download NotaKiitikio: Bwana aliniambia: Ndiwe Mwanangu/ Ndiwe MwananguX2 Mimi leo nimekuzaa leo, Mimi leo, Mimi leo nimekuzaa leo
Mashairi:
1. Tufurahi Sote katika Bwana, kwa sababu Mwokozi wetu amezaliwa
2. Amani ya kweli imetushukia, Amani imetushukia toka Mbinguni