Ingia / Jisajili

Bwana Moyo Wangu

Mtunzi: Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Mfahamu Zaidi Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Willy Kiwango

Umepakuliwa mara 4,789 | Umetazamwa mara 12,102

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Bwana moyo wangu, hauna kiburi, (wala macho yangu, wala amcho yangu, wala macho yangu hayainuki)x2

Mashairi:

1. Wala sijishughulishi na mambo makuu, wala na mambo yashindayo nguvu zangu

2.Hakika nimeituliza nafsi yangu, na kuinyamazisha na kuinyamazisha

3. Kama mtoto aliyeachwa na mamaye, ndivyo roho yangu ilivyo ilivyo kwangu

4. ee Israeli umtumainie Bwana, tangu leo hata milele hata milele


Maoni - Toa Maoni

D. Munene Mar 05, 2020
Kuna makosa mawili kwenye ushairi pale: Kwanza, ubeti wa kwanza sio ubeti kivyake bali ni sehemu ya kibwagizo/kiitikio Pili, ubeti wa kwanza (ambao umenakiliwa kama wa pili) una kosa: "2.Hakika nimeituliza nafsi yangu, na kuinyamazisha na kuinyamazisha" Unafaa kuwa "2.Hakika nimeituliza nafsi yangu, na PIA kuinyamazisha"

Toa Maoni yako hapa