Ingia / Jisajili

Ndipo Niliposema

Mtunzi: W. Kiwango
> Mfahamu Zaidi W. Kiwango
> Tazama Nyimbo nyingine za W. Kiwango

Makundi Nyimbo: Zaburi | Miito

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 2,451 | Umetazamwa mara 5,288

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 2 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 2 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ndipo niliposema tazama nimekuja x 2 Tazama nimekuja kuyafanya mapenzi yako x 2.

Mashairi;

1. nalimngoja Bwana kwa saburi akaniinamia akakisikia kilio changu

2. Akatia wimbo mpya kinywani mwangu ndio sifa zake Mungu wetu.

3. Nimehubiri habari, habari za haki katika kusanyiko kubwa.

4. Sikuzuia midomo yangu Ee Bwana wewe unajua, wajua Bwana.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa