Ingia / Jisajili

Wewe Uhubiriye Sayuni

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: ivan kahatano

Umepakuliwa mara 446 | Umetazamwa mara 1,670

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wewe uhubiriye Sayuni habari njema panda juu ya mlima mrefu X2

Wewe uhubiriye (Yerusalemu) habari njema habari (habari) njema

Paza sauti kwa nguvu paza sauti yako usiogope iambie miji ya Yuda tazameni Mungu wenu X2

1. Tazameni Bwana Mungu atakuja kama shujaa na mkono wake ndio utakaotawala tazameni thawabu yake i pamoja naye na ijara yake i mbele zake

2. Atalilisha kundi lake kama mchungaji atawakusanya na kondoo mikononi mwake na kuwachukua kifuani mwake nao wanyonyeshao atawaongoza polepole

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa