Ingia / Jisajili

Nakushukuru Baba

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Ubatizo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 82 | Umetazamwa mara 174

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nakushukuru Baba Bwana wa mbingu na nchi kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili ukawafunulia watoto watoto wachanga X2

1. Nimekabidhiwa vyote na Baba yangu wala hakuna amjuaye Mwana ila Baba wala hakuna amjuaye Baba ila Mwana na yeyote ambaye Mwana apenda kumfunulia

2. Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo na wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha nami nitawapumzisha

3. Jitieni nira yangu mjifunze kwangu kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo nanyi mtapata raha nafsini mwenu kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa