Ingia / Jisajili

Ee Bwana Usikie

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Pasaka | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 844 | Umetazamwa mara 2,183

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 7 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 7 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 7 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana usikie kwa sauti yangu ninalia moyo wangu umekuambia uso wako nitautafuta usinifiche uso wako aleluya X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa