Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 551 | Umetazamwa mara 1,944
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 7 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 7 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 7 Mwaka C
Bwana Bwana mimi nimesadiki ya kwamba (wewe ndiwe Kristo mwana wa Mungu Kristo mwana wa Mungu yule ajaye ajaye ulimwenguni) X2
1. Yesu akamwambia mimi ndimi huo ufufuo na uzima yeye aniaminiye mimi ajapokufa atakuwa anaishi
2. Naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele