Ingia / Jisajili

Tazama, Mimi Ni Mjakazi Wa Bwana

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Majilio | Mama Maria

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 161 | Umetazamwa mara 326

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama tazama mimi ni mjakazi wa Bwana na iwe kwangu kama ulivyosema na iwe kwangu kama ulivyosema X2

1. Mariamu akamwambia malaika litakuwaje neno hili maana sijui mume

2. Malaika akamwambia Roho Mtakatifu atakujilia juu yako na nguvu zake aliye juu zitakufunika kama kivuli kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu Mwana wa Mungu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa