Mtunzi: Mussa Buzuli
> Mfahamu Zaidi Mussa Buzuli
> Tazama Nyimbo nyingine za Mussa Buzuli
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 998 | Umetazamwa mara 2,793
Download NotaAleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya x2 Malaika akawaambia msiogope kwakuwa mimi nawaletea habari njema ya fura kuu itakayokuwa kwa watu wote maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa kwa ajili yetu mwokozi kristu bwana x2