Ingia / Jisajili

EE BWANA UWE PAMOJA NAMI

Mtunzi: Mussa Jacobo Buzuli
> Mfahamu Zaidi Mussa Jacobo Buzuli
> Tazama Nyimbo nyingine za Mussa Jacobo Buzuli

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 130 | Umetazamwa mara 501

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Pentekoste
- Katikati Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

(Ee Bwana Ee Bwana uwe pamoja nami, uwe Pamoja nami katika Taabu zangu zote) x2

1. Aketiye Mahali pake aliye juu, atakaa katika uvuli wake Mwenyezi.

2. Nitasema Bwana ndiye Kimbilio langu, Mungu nitakaye Mtumaini Milele.

3. Mabaya hayatakupata wala tauni, haitaikaribia hema yako milele.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa