Mtunzi: Mussa Buzuli
> Mfahamu Zaidi Mussa Buzuli
> Tazama Nyimbo nyingine za Mussa Buzuli
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 2,435 | Umetazamwa mara 4,908
Download Nota Download Midijinsi hii mungu aliupenda ulimwengu, x2 hata akamtoa mwanawe wa pekee (ili kila mtu) amwaminiye awe na uzima wa milele x2
1. Maana Mungu hakumtuma mwanawe ahukumu ulimwengu bali aukomboe
2. Amwaminiye yeye hahukumiwi asiye amini amekwisha kuhukumiwa