Mtunzi: Mussa Buzuli
> Mfahamu Zaidi Mussa Buzuli
> Tazama Nyimbo nyingine za Mussa Buzuli
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 509 | Umetazamwa mara 1,794
Download Nota Download MidiFurahini katika Bwana siku zote (tena nasema, furahini) furahini Bwana yu karibu
Beti
1. upole wenu na ujulikane na watu wote siku zote
2. msijisumbue kwa neno lolote bali katika kila neno
3. kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru mema yote