Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Pasaka | Misa
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 3,730 | Umetazamwa mara 9,620
Download Nota Download Midi
Kiitikio:
Aleluya, aleluya, aleluya, aleluya, aleluya, aleluya
Shairi/Bridge/variation.
1. Kristo Paska wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka basi na tuifanye karamu karamu katika bwana
2. Aliyejitoa, aliyejitoa sadaka ya Paska wakristo wamtolee sadaka ya sifa