Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 5,149 | Umetazamwa mara 10,694
Download Nota Download MidiKiitikio:
Furahini katika Bwana, furahini katika Bwana (x 2).Tena nasema furahini, tena nasema furahini, tena nasema furahini Bwana Yu karibu.
Mashairi:
1. Tazameni Bwana anakuja kutukomboa utumwani, atakuja kutukomboa kutoka utumwani mwa dhambi.
2. Sikieni sauti ya mtu itokayo nyikani, yanyoosheni mapito yake, yanyoonsheni mapito yake.