Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 946 | Umetazamwa mara 5,975
Download Nota Download MidiKiitikio:
Shuka Bwana shuka, shuka kwetu; shuka bwana, shuka kwetu katika maumbo haya ya mkate na divai, katika maumbo haya ya mkate na divai.
Mashairi:
1. Shuka kwetu tule mwili na damu yako, tushibishwe nafsi zetu tushibishwe roho zetu, tushibishwe kwa asali itokayo itokayo mwambani, tushibishwe kwa asali itokayo itokayo mwambani.
2. Shuka kwetu utushibishe mwili na yako azizi katika maumbo haya ya mkate na divai.
3.Shuka kwetu ukae nasi, tupate kuonja upendo wako katika maumbo ya mkate na divai, tukae ndani yako nawe ndani yetu, tukae ndani yako nawe ndani yetu.