Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 6,808 | Umetazamwa mara 13,567
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka C
Kiitikio:
Tazama Mungu ndiye anayenisaidia, Bwana ndiye anayeitegemeza nafsi yangu
Mashairi:
1. Kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu Ee Bwana nitalishukuru jina lako maana ni jema
2.Ee Mungu uyasikie maombi yangu, uyasikilize maneno ya kinywa changu
3.Ee Mungu kwa jina lako uniokoe na kwa uweza wako unifanyie hukumu.
4.Kwa maana wageni wamenishambulia watu watishao wananitafuta nafsi yangu, hawakumweka Mungu mbele yao.
5.Atawarudishia adui zangu ubaya wao, uwaangamize kwa uaminifu wako