Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Shukrani | Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,475 | Umetazamwa mara 5,086
Download Nota
Kiitikio:
Nitamuimbia bwana (mimi) , nitamuimbia bwana, kwa maana bwana ametukuka sana (x2)
Mimi, nitamuimbia bwana (mimi) nitamuimbia bwana (x2), kwa maana bwana ametukuka sana (x2)
Mashairi:
1.Farasi na mpanda farasi, amewatupa baharini, bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu, naye amekuwa wokovu wangu, yeye ni Mungu wangu nami nitamsifu.
2. Bwana ndiye jina lake, Farao na jeshi lake amewatupa baharini, bwana ni mtu wa vita na bwana ndilo jina lake.