Ingia / Jisajili

Aleluya Wewe Ndiwe Petro

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 1,902 | Umetazamwa mara 6,830

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Aleluya aleluya wewe ndiwe Petro aleluya x 2
Na juu ya huu mwamba, na juu ya huu mwamba, na juu ya huu mwamba, nitalijenga kanisa langu x 2

  1. Wala milango ya kuzimu haitalishinda aleluya.
     
  2. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni.
     
  3. Utakalolifunga duniani, litafungwa pia mbinguni. 

Maoni - Toa Maoni

BONIFACE KAMWESIGILE Jun 24, 2016
Hongereni sana kwa kazi nzuri

Toa Maoni yako hapa