Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,790 | Umetazamwa mara 6,326
Download Nota Download Midi
Aleluya aleluya, aleluya, aleluya, aleluya aleluya(x2)
Mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni Bwana wimbo mpya, sifa zake katika kusanyiko, kusanyiko la watauwa wake
Israel na afurahie yeye aliyemfanya wana wa Sayuni wamshangilie, wamshangilie Mfalme wao (mwimbieni Aleluya)
Aleluya, aleluya, aleluya, aleluya, aleluya
Na walisifu jina lake, walisifu kwa kucheza na matari na kinubi wambimbie.
Aleluya, aleluya.