Ingia / Jisajili

Mama Maria Mlete Mwanao

Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Wasonga David

Umepakuliwa mara 1,617 | Umetazamwa mara 5,544

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Mama Maria mlete mwanao nipate kumbusu, \\nimbebe mikononi mwangu mfalme huyu wa dunia (Immanueli), nimkumbatie mfalme, mfalme wa ulimwengu x2 //

Mashairi:

1. Tumeiona nyota yake mashariki nasi tumekuja kumwabudu mfalme

2.Jina lake ni Immanueli yaani Mungu pamoja nasi.

3. Yeye ndiye Masiha wetu katuletee wokovu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa