Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 695 | Umetazamwa mara 3,416
Download Nota Download MidiKiitikio:
Toka vilindini nalikulilia Mungu wangu, nalikulilia kwa saburi, nalikulilia kwa saburi Ee Mungu wangu nawe ukaniitikia.
Mashairi:
1.Ukakisikia kilio changu ukaniitikia nilipokulilia, ukaniitikia.
2. Nalikulilia sana, nalikulilia sana, nalikulilia kwa saburi, nalikulilia Mungu wangu, nawe ukanijibu nawe ukanijibu.