Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,341 | Umetazamwa mara 3,866
Download NotaKiitikio:
Nikitafakari jinsi ulivyoniumba nashangaa sana Ee Mungu nashangaa sana (x2)
Mashairi:
1. Ulivyoniumba (Mungu wangu) kweli ni ajabu (ni ajabu sana) nashangaa sana Ee Mungu nashangaa sana.
2.Ninavyotembea (kwa maringo) kweli ni ajabu (ni ajabu sana) nashangaa sana Ee Mungu nashangaa sana.
3. Ninavyoongea (Ee Mungu) kweli ni ajabu (ni ajabu sana) nashangaa sana Ee Mungu nashangaa sana.
4. Na utashi wangu (Hakika) kweli ni ajabu (ni ajabu sana) nashangaa sana Ee Mungu nashangaa sana.