Mtunzi: Kelvin Mkude
> Mfahamu Zaidi Kelvin Mkude
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Mkude
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Kelvin Mkude
Umepakuliwa mara 39 | Umetazamwa mara 35
Download Nota Download MidiTazama watu wanajongea Altare kwake Bwana wakifunga mikono wakienenda kwa heshima kubwa*2
1. Ni kalamu yake bwana yenye upatanisho wa kweli tujongee tupate uzima.
2. Bwana anatualika twende sote tukampokee ni mwili wake na damu yake.