Mtunzi: Kelvin Mkude
> Mfahamu Zaidi Kelvin Mkude
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Mkude
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Kelvin Mkude
Umepakuliwa mara 14 | Umetazamwa mara 15
Download Nota Download MidiEnyi malaika (WA bwana) nipelekeni Kwa Bwana Yesu nikapate uzima wa milele.
1 Upendo wake Bwana Mungu ni nguvu yetu sisi wamchao
2. Na roho zetu zikuabudu siku zote za maisha yetu.
3. Na macho yetu yakutazame wewe Bwana Mungu mwokozi wa wote.