Mtunzi: Kelvin Mkude
> Mfahamu Zaidi Kelvin Mkude
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Mkude
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Kelvin Mkude
Umepakuliwa mara 25 | Umetazamwa mara 23
Download Nota Download MidiZaburi 119
Jinsi gani kijana aisafishe njia yake?
Kwa kutii, akilifuata neno lako.Kwa moyo wangu wote nimekutafuta, Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.
1.Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi.
2.Umtendee mtumishi wako ukarimu, unifundishe amri zako.