Mtunzi: Kelvin Mkude
> Mfahamu Zaidi Kelvin Mkude
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Mkude
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Kelvin Mkude
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiWanawake ni Jeshi Kubwa Tena katika kabisa, pia na jamii yetu nzima*2
Ni wanawake wanawake Jeshi imara hao katika kuongoza misingi Bora ya familia*2
MASHAIRI
1. Wanawake nguzo imara katika malezi Bora ya familia Mungu awalinde wanawake na kuwapa hekima nyingi.
2. Katika Imani ndiyo msingi Bora wa Imani wao huamua tuishi pia na ufuate kipi.
3. Tuishangilie siku hii kukumbuka wawata ndiyo Jeshi Kubwa kwa kanisa letu na Dunia yote.