Mtunzi: Kelvin Mkude
> Mfahamu Zaidi Kelvin Mkude
> Tazama Nyimbo nyingine za Kelvin Mkude
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Kelvin Mkude
Umepakuliwa mara 11 | Umetazamwa mara 17
Download Nota Download MidiMimi nitajongea altare Yako nakukutolea sadaka safi, yenye kukupendeza Ee Mungu wangu na kukutolea vipaji vyangu*2
1. Mazao ya mashambani, na fedha za mifukoni tunakuomba Ee Bwana utujarie baraka.
2. Umetujalia afya akili pia na nguvu ilitukutumikie twaomba Baba pokea.