Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 2,178 | Umetazamwa mara 3,896
Download Nota Download MidiMtolee Mungu wako sehemu ya pato lako (ee ndugu) inuka ukatoe shukrani kwake Bwana X2
1. Mali zote ulizonazo ni kwa uweza wa Mungu Baba nenda ukamtolee
2. Toa kwa moyo ulichonacho naye atakuzidishia nenda ukamtolee
3. Mema anayokujali kwa siku kwa wiki miezi miaka nenda ukamtolee
4. Nenda mbele zake nenda kwa unyenyekevu nenda ukamtolee