Ingia / Jisajili

Siku Sita Kabla Ya Pasaka

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Matawi | Mwanzo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 1,464 | Umetazamwa mara 2,627

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya Matawi

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Siku sita kabla ya pasaka Bwana Yesu alipofika mjini Yerusalemu watoto walimlaki nao walichukua matawi ya mitende mikononi wakapaza sauti wakisema (Hosana juu Hosana juu juu mbinguni ndiwe mbarikiwa uliyekuja na wingi wa rehema zake) X2

1. Inueni vichwa vyenu enyi malango ya milele enyi malango ya milele

2. Mfalme wa utukufu Bwana wa majeshi yeye ndiye mfalme wa utukufu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa