Ingia / Jisajili

Ameyashinda Mauti

Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila

Makundi Nyimbo: Pasaka | Sadaka / Matoleo | Shukrani

Umepakiwa na: Michael Mhanila

Umepakuliwa mara 214 | Umetazamwa mara 325

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
simba wa yuda anaunguruma mbingu za shangwe zinatikisika ulimwengu wa burudani unatetemeka miamba mikubwa inasambaratika hakika bwana amefufuka wote tufurahi na kushangilia ameyashinda mauti aleluya shairi 1. aliyekufa mtini kafufuka akakubali kuyatubu makosa yetu ameshinda tumetakasika milele 2.kaburini hayumo tufurahi pia kushangilia hakika ni raha tuimbe aleluya

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa