Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Mazishi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 407 | Umetazamwa mara 1,649
Download Nota Download MidiMungu wangu mbona umeniachax 2
1. wote wanionao hunicheka sana , hunifyonya wakitikisa vichwa vyao
2. husema umtegemee Bwana na amponye, na amwokoe sasa maana apendezwa naye
3.kwa maana mbwa wengi wamenizunguka, kundi la waovu wamenizingira
4.wanagawanya nguo zangu na vazi langu wanalipigia kura
5.nawe Bwana usiwe mbali ,Ee Mungu wangu fanya haraka kunisaidia
6.nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu, katikati ya kusanyiko nitakusifu
7.ninyi mnaomha Bwana msifuni, enyi nyote mlio wazapo wa yakobo mtukuzeni