Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 454 | Umetazamwa mara 2,376
Download Nota Download MidiSHAIRI
1. Nikisafiri nafika salama afya yangu imara siku zote namshukuru mungu baba wa mbinguni astahili sifa nakutukuzwa
2. furaha kubwa niliyonayo yatoka kwako baba baba wa milele marafiki zangu ulionijalia ninakushukuru asante sana
KIITIKIO
Matendo yako Bwana yanatisha upendo wako Mungu ni wa ajabu njoni tumwimbie Bwana Mungu muumba wetu njoni tucheze wote tukimsifu Mungu atukuzwe Mungu baba aliye mbinguni
Kibwagizo
Nakushukuru Mungu wangu napiga goti mbele yako asante Mungu wangu utukuzwe milele