Maneno ya wimbo
KISIMA CHA WOKOVU
Basi kwa furaha mtateka maji katika kisima, mtateka maji katika kisima cha wokovu *2
Katika kisima cha wokovu, katika kisima cha wokovu, katika kisima cha wokovu, katika kisima cha
wokovu *2
1. Wewe ndiwe tegemeo langu Baba, wewe unayo maneno ya uzima, tena ni ule uzima wa milele,
tumaini langu mimi nitateka maji katika kisima cha wokovu
2. Mimi niwe mwaminifu kwako Baba, nikutumikie siku zote baba, nihifadhi hazina juu mbinguni,
tumaini langu mimi nitateka maji katika kisima cha wokovu
3. Kila anywaye hataona kiu tena, Bwana nipe maji hayo nisije tena, yakibubujika uzima wa milele,
tumaini langu mimi nitateka maji katika kisima cha wokovu
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu