Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Watakatifu | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 263 | Umetazamwa mara 566
Download Nota Download MidiNami nikiinuliwa nikiinuliwa juu ya nchi nitawavuta (wote) nitawavuta nitawavuta wote kwangu asema Bwana X2
1. Nuru ingaliko pamoja nanyi muda kidogo enendeni maadamu mnayo nuru hiyo giza lisije lisije likawaweza2. Maana aendeye gizani hajui aendako maadamu mnayo nuru iaminini nuru hiyo ili mpate kuwa wana wa nuru3. Sasa hukumu ya ulimwengu huu ipo sasa mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje